Habari
-
NHIF ZANZIBAR ILIVYOADHIMISHA SIKUKU YA MAPINDUZI
NHIF Zanzibar yaadhimisha Sikukuu ya miaka 57 ya Mapinduzi kwa kutoa elimu na kusajili wanachama katika tamasha la Biashara linaloendelea mjini hapo hadi Januari 15 ....
Jan 12 ,2021 Soma zaidi -
TAARIFA KWA UMMA - KUWEPO KWA TAARIFA ZA MAKATO YA MADAI YA WATOA HUDUMA MWANZA
Mfuko wa Taaifa wa Bima ya Afya (NHIF) umetolea ufafanuzi malalamiko ya wadau wake mkoani Mwanza....
Nov 29 ,2020 Soma zaidi -
WAHARIRI UNGENI MKONO SUALA LA BIMA YA AFYA KWA WOTE- KONGA
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bernard Konga akizungumza maneno ya utangulizi wakati wa Mkutano wa Tano na Wahari wa Vyombo vya Habari nchini jijini Dodoma Oktoba 22, 2020 kuelekea maadhimisho ya miaka 20 tangu mfuko huo uanzishwe rasmi 2001....
Nov 02 ,2020 Soma zaidi -
NHIF YAZINDUA MPANGO WA DUNDULIZA KWA HUDUMA ZA BIMA YA AFYA KUPITIA BENKI YA NMB
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa kushirikiana na Benki ya NMB wamezindua mpango unaojulikana kwa jina la DUNDULIZA unaomwezesha mwananchi kudunduliza fedha kidogo kidogo za mchango wa bima ya afya na hatimaye kufanikisha kuchangia kiwango kinachotakiwa na kujiunga na huduma za bima ya afya kupitia NHIF. ...
Nov 02 ,2020 Soma zaidi -
NHIF WAZINDUA VIFURUSHI VYA BIMA YA AFYA KWA WAANDISHI HABARI NCHINI
Mfuko wa taifa wa Bima ya afya (NHIF) umezundua rasmi vifurushi vya bima ya afya kwa waandishi wa habari, ili kuwa rahisishia upatikanaji wa matibabu kipindi watakapougua na kuokoa afya zao....
Nov 02 ,2020 Soma zaidi -
NHIF, TPB WAZINDUA MPANGO WA BIMA YA AFYA KWA WAKULIMA WA PAMBA IGUNGA
WADAU wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wametakiwa kuunga mkono juhudi kubwa zinazofanywa na Mfuko huo katika kuingiza makundi mbalimbali ya wananchi katika huduma zake ili kutimiza ndoto ya Serikali ya bima ya afya kwa wote....
Nov 02 ,2020 Soma zaidi
Habari Mpya
Matukio Mpya
-
29 Mar
-
14 Nov
-
30 Jul
Machapisho Mapya
-
Machinga Afya
(1.4 MB) -
Madereva Afya
(1.37 MB) -
FOMU YA VIFURUSHI VIPYA
(0.8 MB) -
Online Student Registration Portal
(0.74 MB) -