NHIF yapongezwa utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umepongezwa kwa kuanza utekelezaji wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote ambapo kwa sasa wananchi wanajiunga kupitia vifurushi vya Ngorongoro na Serengeti.
Pongezi hizo zimetolewa leo na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana, Ajira na Watu wenye ulemavu Bi. Zuhura Yunus wakati...