Ujumbe kutoka Mfuko wa Taifa ya Bima ya Afya (NHIF) wametembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana kujadili mambo mbalimbali ikiwemo namna bora ya kuendelea kushirikiana katika kuboresha huduma za afya kwa wananchi wanaotumia Bima ya NHIF kupata matibabu.
Katika kikao hicho NHIF wameahidi kuendelea kuboresha huduma zao ili kila mwanachama anayetumia Bima ya NHIF aweze kupata huduma za afya bila kikwazo chochote.
https://www.instagram.com/p/DZIM4RjCGxV/?img_index=6