TUMEJIPANGA KUTEKELEZA BIMA YA AFYA KWA WOTE- NHIF
Na Mwandishi Wetu, Songea
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umesema umekamilisha maandalizi ya kuanza kutekeleza Bima ya Afya kwa Wote ambapo imewaomba wananchi kuendelea kujiunga na vifurushi ili kuwa na uhakika wa kupata matibabu wakati wowote.
Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa Huduma za Wanachama Bw. Hipol...