Mkurugenzi Mkuu akutana na Viongozi Wateule wa Vituo vipya vya Mfuko
30 Julai, 2025-Dodoma
Mkurugenzi Mkuu Dkt. Irene C. Isaka leo tarehe 30 Julai, 2025 amekutana na Maofisa Wateule watakaokuwa Viongozi wa ofisi mpya nane zinazofunguliwa na Mfuko kwa ajili ya kuboresha huduma kwa Wanachama na Wadau.
Akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika Makao Makuu ya Mfuko, Dkt....