WAJUMBE WA CHAMA CHA WAFANYAKAZI, DOWUTA BANDARI YA DAR WATEMBELEA NHIF
16 Julai, 2025 Dodoma
Wajumbe wa Chama cha Wafanyakazi wa Shughuli za Bahari na Meli (DOWUTA) kutoka Bandari ya Dar es Salaam, kitengo cha Makasha kinachofahamika kama *Tanzania East Africa Gateway Terminal Limited (TEAGTL)*, wametembelea ofisi za Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Makao Makuu kwa lengo la kupata elimu ya...