Mzazi/Mlezi anaweza kumsajili mtoto bima ya afya pamoja naye kama mtegemezi, au kwa mpango wa kifurushi cha Toto Afya kupitia shule anayosoma au Toto Afya kwa mtoto mmoja mmoja.