Ninawezaje kumsajili mtoto katika Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya?
Ninawezaje kumsajili mtoto katika Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya?
Mzazi/Mlezi anaweza kumsajili mtoto bima ya afya pamoja naye kama mtegemezi, au kwa mpango wa kifurushi cha Toto Afya kupitia shule anayosoma au Toto Afya kwa mtoto mmoja mmoja.