Naona kama kiwango cha sh.150,000 kwa mtoto mmoja ni gharama kubwa kwa Kaya zisizo na uwezo

Mtoto mmoja mmoja kwenye Kaya zisizo na uwezo ambazo zimetambuliwa na Mpango wa TASAF pamoja na TAMISEMI wataingizwa kwenye mfumo maalum wa Bima ya Afya kwa wote. Hivyo nao watapata matibabu kupitia mfumo huo.

Kwa wananchi wenye kipato cha kawaida wanaweza kuchangia kidogo kidogo kwa kudunduliza.