Mchango wa kumsajili mtoto ni shilingi ngapi?

Watoto wanaosajiliwa katika makundi kupitia shule mchango ni Shilingi 50,400 kwa kila mtoto kwa mwaka. Endapo mtoto atasajiliwa peke yake mchango kwa mwaka utakuwa Shilingi 150,000.  Michango yote ya uanachama inalipwa moja kwa moja katika akaunti ya Mfuko kwa kutumia control namba