SERIKALI KULIPA NHIF DENI LA TSH BILIONI 228

SERIKALI KULIPA NHIF DENI LA TSH BILIONI 228 Nov 04, 2023

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali imekubali kulipa Shilingi Bilioni 228 za NHIF ambazo ni deni la Wizara ya Mambo ya Ndani sh. bilioni 45.4, Taasisi ya Mifupa (MOI) sh. bilioni 18.2, NIDA sh. bilioni 17.3 na Hospitali ya Benjamin Mkapa sh. bilioni 129.

Madeni haya yatalipwa ili kulinda uhai na uendelevu wa Mfuko. Mhe. Ummy ameyasema haya wakati akijibu hoja za ripoti ya CAG ya 2021/2022