Je, wanufaika wa Toto Afya watatambulikaje katika vituo vya kutolea huduma?

Mfuko hautazalisha vitambulisho halisi, hivyo wanufaika wa Toto Afya watapewa namba ya kitambulisho au nakala tepe (soft copy) ya kitambulisho watakayotomia katika vituo vya kupata huduma vilivyosajiliwa nwa Mfuko nchi nzima.