Ungana nasi kuadhimisha Miaka 25 ya
NHIF na kushiriki mbio za NHIF Marathon 2026
yenye lengo la kuchangia bima za afya kwa
makundi maalum hususan wanawake na
watoto.
📅 Tarehe: 29 Novemba 2026
📍 Mahali: Uwanja wa Jamhuri, Dodoma
🏅 Mbio: Kilomita 21, 10 na 5
💰 Ada ya usajili: TSh 40,000 tu
Bima ya Afya kwa Wote, Jiunge Sasa!
Kushiriki NHIF Marathon 2026 tumia tovuti hii
https://events.nhif.or.tz/home
@wizara_afyatz @msemajimkuuwaserikali
@bima_afyatz
#nhiftz #bimayaafya #nhifmarathon2026