BODI YA WAKURUGENZI YA NHIF YARIDHISHWA NA KASI YA UTENDAJI:
Dodoma
Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) imekutana katika kikao cha kwanza kwa mwaka wa fedha 2025/26 mnamo tarehe 22 Agosti 2025 Jijini Dodoma, makao makuu ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF. Kikao hicho kilijadili ripoti ya maendeleo ya utendaji wa Mfuko kwa mwaka wa fedha 2024/25...