NHIF na Benki ya NMB leo wamezindua mpango wa DUNDULIZA unaowezesha wananchi kuwekeza kidogokidogo mchango wa bima ya afya kupitia benki na kisha kujiunga na kuanza kunufaika na huduma za bima ya afya. #tunajali afya yako