NHIF imezindua rasmi mpango wa huduma za Bima ya Afya kwa Waandishi wa Habari kupitia Umoja wa Vyama vya Waandishi wa Habari (UTPC). Mpango huo umezinduliwa leo Jijini Mwanza na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongela na kuwahimiza Wanahabari kujiunga na