NHIF na TPB Bank wameanza mpango rahisi wa bima ya afya kwa wakulima. Mpango huo umezinduliwa leo Mwamashimba Igunga na Mkuu wa mkoa wa Tabora Mhe Dkt. Philemon Sengati na kuwahimiza wakulima Igunga na nchi nzima kuchangamkia fursa hiyo kwa manufaa yao na