Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Bernard Konga akipokea kombe kutoka kwa Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga baada ya Mfuko kuibuka mshindi wa kwanza wa utoaji wa huduma bora katika kundi la Mashirika ya Umma kwenye maonesho ya Nane Nane Kitaifa mkoani Simiyu.