Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Godwin Mollel akifurahi pamoja na watumishi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mara baada ya kushika nafasi ya kwanza katika utoaji wa huduma bora katika kundi la Mashirika ya Umma kwenye maonesho ya Nane Nane Kitaifa mkoani Simiyu