Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umetunukiwa kombe la ushindi wa kwanza katika utoaji wa huduma bora katika kundi la Mashirika ya Umma kwenye maonesho ya Nane Nane Kitaifa mkoani Simiyu. Mfuko umeshiriki kwa kutoa huduma za elimu, usajili wa wanachama na upimaji wa afya bure