Naibu Waziri wa Afya Mhe. Faustine Ndugulile leo amefanya ziara ofisi za NHIF Lindi na Mtwara kufuatilia uandikishaji wa wakulima kwenye Ushirika Afya ili wanufaike na bima ya afya.