Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Bw. Bernard Konga akitembelea wanachama wa Mfuko huo katika Hospitali ya TMJ kuwajulia hali na kupata mrejesho wa huduma ikiwa ni mwendelezo wa mkakati wa kuboresha huduma kwa wadau wake.