Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu leo amekabidhi kadi za bima ya afya (TOTO AFYA KADI ) kwa watoto 900 yatima na walio kwenye mazingira magumu wa mikoa ya DSM, Arusha, Kilimanjaro, Mwanza na Mbeya. Kadi hizo zimefadhiliwa na Benki ya Stanbic.