Wananchi wilayani Nachingwea wakimsikiliza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu wakati akielezea upatikanaji wa huduma za matibabu