Wanachama wa NHIF na wananchi wa Manyara waanza kupata huduma za Madaktari Bingwa katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Manyara baada ya program hiyo kuzinduliwa rasmi na Kaimu Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Elizabeth Kitundu. Huduma hii itaendelea kwa wiki nzima hadi 16 Desemba 2018.