Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akionyesha kitambulisho cha matibabu kupitia mpango wa Ushirika Afya kabla ya kukabidhi kwa wanachama waliojiunga kwenye kampeni ya uhamasishaji aliyoifanya katika Mkutano wa hadhara katika eneo la Kitangali Wilaya ya Newala