Huduma za Madaktari Bingwa kupitia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya zimeanza rasmi leo katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi baada ya kuzinduliwa na Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Amos Makala. Huduma hizi zitaendelea hadi 24 Novemba 2018