Meneja Uhusiano wa NHIF akiiaga timu ya NHIF ya Mpira wa Pete na Miguu wakati ikielekea kushiriki mechi ya kirafiki na timu ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). NHIF imeifunga Muhimbili 15 kwa 9 katika mpira wa pete wakati MNH waliishinda NHIF katika mpira wa miguu. Michezo ni Afya.