Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wezee na Watoto akigawa kadi za NHIF kwa wasanii zaidi ya 100 katika Ukumbi wa NSSF, Dar es Salaam