Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe Hillary Ngonyani akisaini kitabu cha wageni baada ya kutembelea banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya lililopo kwenye viwanja vya Mwahaco jijini Tanga kunakofanyika Maonesho ya kibiashara na Utalii kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Jumanne Shauri kulia ni Afisa Matekelezo wa Mfuko huo Macrina Clemens anayefuata ni Afisa Masoko na Elimu kwa Umma Hawa Duguza.