Daktari wa NHIF Mkoani Tanga Dennis David akimpima mkazi wa jiji la Tanga kwenye banda la NHIF kunakofanyika zoezi la upimaji afya bure katika Maonesho ya Sita ya Kibiashara na Utalii Mkoani humo.