Meneja wa NHIF Mkoa wa Ruvuma Abdiel Mkaro akikabidhi mifuko 189 ya saruji iliyotolewa na Mfuko kama sehemu ya uboreshaji wa miundombinu ya Afya, Msaada huo utatumika katika ujenzi wa Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Namtumbo. Anayepokea ni Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo.