Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Mama Anne Makinda akimkabidhi kadi ya matibabu mmoja wa watoto waliojiunga na huduma kupitia mpango wa Toto Afya Kadi, Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko Bw. Bernard Konga.

Kaimu Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti, Anjela Mziray akimwelezea Mwenyekiti wa Bodi namna mpango wa Toto Afya Kadi ulivyopata mwitikio mkubwa wa wananchi.