REFERENCE NUMBER

Ili kufanya malipo yoyote ya huduma zetu ni lazima uwe na namba ya kumbukumbu ambayo utaipata kwa ujumbe mfupi kwenye simu yako ya mkononi kwa kufuata utaratibu ufwatao.

1 Piga *152*00#

2. Chagua Huduma za NHIF

3. Chagua Mwanachama

4. Chagua Kulipia Huduma

5. Chagua Michango au kupata kadi nyingine

6. Ingiza namba ya uanachama

7. Chagua Herufi ya Ofisi utakayochukulia Risiti

8. Kubali

Utapata ujumbe ufupi utakaokupa Akaunti namba, Reference namba na Kiasi utakachotakiwa kulipia kupitia tawi lolote la NMB

Endapo utahitaji msaada zaidi tupigie simu bure 0800110063