MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF) WAPATA USHINDI MAONESHO YA SABASABA

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi cheti Meneja wa MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wilaya ya Kinondoni na Kaimu Mkurugenzi Mkuu Innocent Mauki kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo kama washindi wa tatu katika kipengele cha (Social Security and Social Regulatory Scheme Exhibitors) wakati wa kufunga maonesho ya Biashara ya Sabasaba uliofanyika leo kwenye viwanja vya TanTrade Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.

Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) wilaya ya Kinondoni na Kaimu Mkurugenzi Mkuu Innocent Mauki kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo akiwa katika hafla hiyo leo